PICHA MBALIMBALI KIKAO CHA TATHMINI YA MAAZIMIO YA UTEKELEZAJI WA HUDUMA ZA CHF MKOA WA TANGA
BAADHI YA WATENDAJI WA CHF KUTOKA HALMASHAURI ZA MKOA WA TANGA WAKIWA KATIKA KIKAO CHA TATHMINI YA HUDUMA ZA CHF |
MKUU WA WILAYA YA TANGA THOBIAS MWILAPWA (KULIA)NA MKUU WA WILAYA LUSHOTO JANUARY SIGARETI WAKIWA KATIKA KIKAO CHA TATHMINI YA HUDUMAZA CHF |
MKUU WA MKOA WA TANGA MARTIN SHIGELA (KUSHOTO ) NA KATIBU TAWALA(M) MHANDISI ZENA SAID WAKIWA KATIKA KIKAO CHA TATHMINI YA HUDUMA ZA CHF MKOA WA TANGA |
BAADHI YA WAKUU WA WILAYA WAKIWA KATIKA KIKAO CHA TATHMINI YA CHF |
MRATIBU WA CHF MKOA WA TANGA MMASA MALUBU AKITETA JAMBO NA MGANGA MKUU WA MKOA DKT. ASHA MAHITA |
MRATIBU WA SHIRIKA LA GIZ MKOA WA TANGA APOLINARY RUTAKUBURWA AKIMKARIBISHA MGANGA MKUU WA MKOA DKT ASHA MAHITA KATIKA KIKAO CHA TATHMINI YA HUDUMA ZA CHF MKOA WA TANGA |
MGANGA MKUU WA MKOA WA TANGA DKT ASHA MAHITA AKIZUNGUMZA KATIKA KIKAO HICHO |
BAADHI YA WAGANGA WAKUU WA WILAYA |
MKUU WA WILAYA YA TANGA THOBIAS MWILAPWA AKIZUNGUMZA KATIKA KIKAO CHA TATHMINI YA HUDUMA ZA CHF |
MRATIBU WA CHF HALMASHAURI YA MUHEZA HADIJA CHANYENDO AKIWASILISHA TAARIFA |
MRATIBU WA CHF WILAYA YA KILINDI MODI MNGUMI AKIWASILISHA TAARIFA |
ELIZA MALALI MRATIBU WA CHF MKINGA |
MKUU WA WILAYA YA LUSHOTO JANUARY SIGARETI AKIZUNGUMZA KATIKA KIKAO HICHO |
MENEJA WA MFUKO WA BIMA YA AFYA MKOA (NHIF) A. MWAKABABU AKIWASILISHA TAARIFA |
MKUU WA WILAYA YA HANDENI GODWIN GONDWE AKIZUNGUMZA KATIKA KIKAO CHA TATHMINI YA CHF MKOA |
MRATIBU WA SHIRIKA LA GIZ MKOA WA TANGA A. RUTAKUBURWA AKIKABIDHI VIFAA KWA MKUU WA MKOA |
MKUU WA MKOA WA TANGA MARTINE SHIGELA AKIMKABIDHI VIFAA KATIBU TWALA WILAYA YA MKINGA JOSEPH SURA |
No comments: