NAIBU WAZIRI WA MAJI JUMAA AWESSO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI MIRADI YA MAJI WILAYANI TANGA,MUHEZA NA PANGANI.
| Mkuu wa wilaya Muheza Mhandisi. Mwanaasha Tumbo akimkaribisha Naibu Waziri wa maji Jumaa Awesso kuanza ukaguzi wa miradi ya maji |
| Naibu Waziri wa maji Jumaa Awesso akitoa maelekezo kwa mkandarasi wa kumpuni ya Koberge Construction Ltd Mhandisi.Stephen Lucas. |
| Baadhi ya miradi ya maji wilaya ya Muheza |
| Naibu Waziri wa maji Jumaa Awesso akitoa maelekezo kwa baadhi ya watumishi wa wilaya ya Muheza kusimamia miradi ya maji kwa umakini zaidi |
| Naibu Waziri wa maji Jumaa Awesso akiongea na wananchi wa Masaika Wilaya ya Pangani wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi ya maji. |
| baadhi ya wananchi wakimsikiliza Naibu waziri wa maji |
| Mto Pangani ambao Naibu waziri ameiagiza mamlakaya maji jijini Tanga kuandaa andiko litakalowezesha matumizi ya maji ya mto huo katika wilaya za Pangani Muheza na Korogwe |
Naibu Waziri wa maji Jumaa Awesso akikagua mradi wa maji kata ya kiguru simba wilaya ya Pangani | ||

No comments: