Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali yambana mhandisi Kilindi yamtaka kubadilil milango ya choo shule ya sekondari Kwediboma ni kutokana na kujengwa chini ya kiwango
| Baadhi ya watendaji wa Halmashauri ya Kilindi wakisikiliza maeliekzo ya kamati ya Bunge ya hesabu za Serikali LAAC ilipotembelea kukagua miradi |
| Katibu tawala mkoa wa Tanga Zena Said akiwa na wajumbe wakamti ya Bunge wakati walipotembelea miradi wilyani kilindi |
| Mkaguzi wa Hesabu CAG mkoani Tanga Bw. Kipole akiongoza kamati ya Bunge kukagua miradi wilani Kilindi |
| Bwawa la maji katika kjiji cha Balang'a mradi huo umegharimu shilingi bilioni 2.5 |
| Matundu ya vyoo katika shule ya sekondari Kwediboma ambayo kamati ya bunge imeamuru milango ibdalishwe ujenzi huo umegharimu milioni 34 |
| Makamu mwenyekiti kamati ya Bunge (LAAC) Abdala Chikota akiwa na wajumbe wa Bodi ya shule Kwediboma |

No comments: