Header Ads


BWENI LA MAPINDUZI SHULE YA SEKONDARI WASICHANA KOROGWE LA TEKETEA KWA MOTO WANAFUNZI 48 WALAZWA KWA MSHTUKO



MKUU WA MKOA WA TANGA MWENYE SHATI JEUPE  MARTIN SHIGELA AKITEMBELEA  BWENI LILOUNGUA MOTO SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA KOROGWE 




WAJUMBE WAKAMATI YA ULINZI NA USALAMA WAKIANGALIA ATHARI ZA MOTO ULIOTEKETEZZA BWENI LA WASICHANA KOROGWE GIRLS
MKUU WA MKOA WA TANGA  MARTIN SHIGELA AKIWAJULIA HALI WANAFUNZI SHULE YA SEKONDARI WASICHANA KOROGWE WALIOLAZWA  HOSPITALI YA MAGUNGA BAADA YA KUPATA MSHTUKO KUTOKANA NAMOTO ULIOUNGUZA BWENI LA MAPINDUZI 
MKUU WA MKOA WA TANGA MARTIN SHIGELA AKIWA NA KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA MHANDISI ZENA SAID WAKIWAJULIA HALI BAADHI YA WANAFUNZI  WA SHULE YA SEKONDARI WASICHANA KOROGWE. WALIOLAZWA BAADA YA KUPATA MSHTUKO 




No comments:

Powered by Blogger.