TANGA UWASA YATOA ELIMU KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MATUMIZI YA MFUMO WA GePG KATIKA ULIPAJI WA ANKARA ZA MAJI
BAADHI YA WAANDISHI WAKISIKILIZA MADA KUTOKA WA WATAALAMU WA TANGA UWASA |
MAKAMU MWENYEKITI TANGA PRESS CLUB LULU GEORGE AKIZUNGUMZA WAKATI WA MAFUNZO HAYO YALIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA YDCP |
MWANDISHI WA TBC JOACHIM KAPEMBE AKICHANGIA HOJA BAADA YA MADA KUWASILISHWA |
KAIMU AFISA UHUSIANO TANGA UWASA ROGERS MACHAKU AKITOA UFAFANUZI WAKATI WA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI |
ZAWADI KIKA WA CLOUDS TV AKICHANGIA MADA |
MWANDISHI WA GAZETI LA MAJIRA MASHAKA MHANDO AKITOA PONGEZI KWA TANGA UWASA KWA KUTOA HUDUMA YENYE UBORA UNAOTAMBULIWA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA |
GEORGE SEMBONY MWANDISHI WA GAZETI LA THE CITIZEN AKICHANGIA MADA KATIKA SEMINZA KWA WANAHABARI ILIOANDALIWA NA TANGA UWASA |
MWENYEKITI TANGA PRESS CLUB HASSAN HASHIM AKITOA NENO LA SHUKRAN BAADA YA MAFUNZO HAYO |
MENEJA WA HUDUMA KWA WATEJA TANGA UWASA MOHAMED PIMA AKITOA UFAFANUZI WA MASWALI YALIYOULIZWA NA WAANDISHI WA HABARI |
No comments: