WATER MISSION WAKABIDHI MRADI WA MAJI SAFI MKINGA AMBAO UMEGHARIMU( DOLA 88095) ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 198 ZATANZANIA
NI NYUSO ZA FURAHA NA MATUMAINI YA KUPATA HUDUMA YA MAJI SAFI YA BOMBA |
BAADHI YA WAFADHILI WA MRADI MAJI SAFI KUTOKA SHIRIKA LA e3 PARTNERS WALIHUDHURIA KATIKA HAFLA YA UZINDUZI HUO |
BAADHI YA WANANCHI WA WILAYA YA MKINGA WALIOHUDHURIA KWENYE UZINDUZI WA MRADI WA MAJI SAFI ULIOFADHILIWA NA SHIRIKA LA E3 CHINI YA URATIBU WA SHIRIKA LA WATER MISSION |
BAADHI YA WANAFUNZIWALIOJITOKEZA WAKATI WAUZINDUZI WA MRADI WA MAJI SAFI WILAYANI MKINGA |
KAIMU MKURUGENZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MKINGA MICHAEL NDUNGURU AKIZUNGUMZA NA WAANDISHIWA HABARI WAKATI WA UZINDUZI WA MRADI WA MAJI SAFI AMBAO UMEGHARIMU SHILINGI MILIONI 198 |
KISIMA CHA AWALI AMBACHO WANANCHI WALIKUA WAKITUMIA KABLA A KUZINDULIWA KWA MRADI MAJI SAFI YA BOMBA |
ISACK ABDIEL MRATIBU WA SHIRIKA LA WATER MISSION TANZANIA AKIZUNGUMZA KATIKA HAFLA HIYO |
MKURUGENZI MKAZI WA SHIRIKA LA e3 PARTNERS PAUL BUHWAHWA AKIZUNGUMZA WAKTI WA HAFLA YA MAKABIDHIANO YA MRADI WA MAJI SAFI MKINGA AMBAO UMEGHARIMU ZAIDI A SHILINGI MILIONI 198 |
BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MKINGA LEO WALIOHUDHURIA HAFLA YA UZINDUZI WA MRADI WA MAJI SAFI |
No comments: