PICHA MBALIMBALI MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI NA TANGA UWASA KUHUSU MAFANIKIO YA FILAMU YA MAMBA WA ZIGI KATIKA UHIFADHI WA CHANZO CHA MTO ZIGI
MKURUGENZI MTENDAJI WA TANGA UWASA MHANDISI JOSHUA MGEYEKWA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI |
BAADHI YA MAAFISA WA TANGA UWASA WAKIMSIKILIZA MKURUGENZI MTENDAJI KATIKA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI |
UTAFITI WA MAMBA WA ZIGI UMEIBUA CHANGAMOTO MBALIMBALI AMBAZO ZIMEPATIWA UFUMBUZI |
MHANDISI JOSHUA MGEYEKWA MKURUGENZI MTENDAJI TANGA UWASA |
WAANDISHI WA HABARI WAKISIKILIZA KWA MAKINI TAARIFA YA MKURUGENZI MTENDAJI TANGA UWASA |
BAADHI YA WAANDISHI WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI KURUGENZI WA TANGA UWASA |
AFISA MAZINGIRA TANGA UWASA RAMADHAN NYAMBUKA AKIFAFANUA JAMBO KATIKA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI |
MENEJA UFUNDI MHANDISI FARES ARAM AKIZNGUMZIA CHANGAMOTO KWENYE MIUNDOMBINU YA MAJI TAKA |
RAMADHANI NYAMBUKA AKIELEZEA MAMLAKA YA MAJI TANGA UWASA ILIVYO SHIRIKIANA NA WAKULIMA NA KUFANIKIWA KUENDESHA KILIMO KUHIFADHI MAZINGIRA CHA FANYA JUU FANYA CHINI |
MWENYEKITI WA KIKUNDI CHA UTUNZJI MAZINGIRA KIHUHWI ZIGI (UWAMAKIZI ) RAJABU MBARUKU AKIELEZEA MAFANIKIO YA UTUZAJI WA MAZINGIRA YA MTO ZIGI |
WAANDISHI WA HABARI WAKIANGALIA SEHEMU YA FILAMU YA MAMBA WA ZIGI |
No comments: