TANGA PRESS CLUB WAPATA MAFUNZO YA UANDISHI MAKINI WA HABARI ZA MAHAKAMANI
MWENYEKITI WA TANGA PRESS CLUB HASSAN HASHIM KULIA AKIZUNGUMZA NA MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO DKT HASSAN ABBAS MARA BAADA YA KUSAINI KITABU CHA WAGENI |
MKURUGENZI WA IDARA YA HABRI MAELEZO DKT HASSAN ABBAS AKIWA KATIKA OFISI ZA TANGA PRESS CLUB |
MWENYEKITI WA TANGA PRESS CLUB AKITOA UTAMBULISHO KABLA YA KUANZA KWA MAFUNZO YA UANDISHI WA HABARI ZA MAHAKAMANI |
MWANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA THE CITIZEN PASKAL MBUNGA AKISIKILA KWA MAKINI WAKATI WA MAFUNZO YA UANDISHI WA HABARI ZA MAHAKAMNI |
MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO DKT HASSAN ABBAS AKITOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI MKOANI TANGA |
BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI WAKIWA KWENYE MAFUNZO YA UANDISHI MAKINI WA HABARI ZA MAHAKAMNI |
MWANDISHI WA HABARI MWANDAMIZI WA GAZETI LA MAJIRA MASHAKA MHANDO AKIULIZA SWALI WAKATI WA MAFUNZO YA UANDISHI WA HABARI ZA MAHAKAMANI |
MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO DKT HASSAN ABBAS AKITOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI MKOANI TANGA |
Add caption |
No comments: