TPA YATOA UFAFANUZI KUHUSU ULIPWAJI WA FIDIA KWA WANANCHI WALIOTWALIWA MAENEO YAO MKOANI KIGOMA
KAIMU MENEJA WA BANDARI KIGOMA MORRIS MCHINDIUZA AKITOA UFAFANUZI KWA WAANDISHI WA HABARI |
MKUU WA MAWASILIANO BANDARI YA TANGA MONI JARUFU AKISILIZA KWA MAKINI UFAFANUZI KUHUSU ULIPWAJI FIDIA KWA WANANCHI WA KIGOMA |
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TPA IMETOA KIASI CHA SHILINGI BILIONI 12 KWA AJILI YA FIDIA KWA WANANCHI WA KIGOMA AMBAO MAENEO YAO YAMETWALIA KWA AJILI YA UPANUZI WA BANDARI HIYO |
No comments: