PICHA MBALIMBALI ZOEZI LA KIJESHI KWA NCHI ZA JUMUIYA YA SADC
ZOEZI LA KUKABILINA NA WAHALIFU KWENYE MELI |
HELKOPTA IKTUA JUU YA JENGO IKIWA NI ZOEZI L KUKABILIANA NA WATEKAJI |
ZOEZI LA PAMOJA LA KIJESHI LINALOFANYWA NA MAJESHI YA JUMUIYA YA SADC |
ASKARI WA NCHI ZA JUMUIYA YA SADC WAKIONYESHA UMAHIRI WA KUKABILIANA NA ADUI |
ASKARI WA NCHI ZA JUMUIYA YA SADC WAKIONDOKA KWA HELKOPTA MARA BAADA YA KUMALIZA ZOEZI LA UOKOAJI |
ASKARI WAKIWA KATIKA HEKAHEKA YA YA KUOKOA WATU KATIKA JENGO LILILOTEKWA NA MAGAIDI IKIWA NI SEHEMU YA MAFUNZO YA KUPAMBANA NA WAHALIFU KWA MAJESHI YA JUMUIYA YA SADC |
MEJA JEN. HARRISON MASEBO AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI |
ASKARI WAKIWA WAMEIMARISHA ULINZI |
BAADHI YA ASKARI WAKIWA KATIKA ZOEZI LA UOKOAJI |
Add caption |
No comments: