RAIS MAGUFULI AZINDUA STAND YA KISASA WILAYANI KOROGWE MKOANI TANGA
BAADHI YA WANANCHI WALIOHUDHURIA SHEREHE ZA UZINDUZI WA STAND WILAYANI KOROGWE |
RAIS MAGUFULI AKIWASILI KWA AJILI YA UFUNGUZI WA STAND |
WANANCHI WA KOROGWE WAKISHNGILIA WAKATI WA UZINDUZI WA STAND ULIOFANYWA NA RAIS MAGUFULI |
RAIS MAGUFULI AKIMPONGEZA NAIBU WAZIRI TAMISEMI SULEIMAN JAFO WAKTIA WA UZINDUZI WA STAND YA KOROGWE MKOANI TANGA |
WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MISIMA WILAYANI HANDENI WAKMSIKILIZA rAIS MAGUFULI AMBAYE ALISIMAMA NA KUWASILIMIA RAIS ALITOA KIASI CHA MILIONI TANO KUSAIDIA UJJENZI WA VYOO SHULENI HAPO. |
No comments: