USHIRIKIANO WA KIJESHI KWA NCHI ZA SADC UTASAIDIA KUONDOA MIGOGORO AFRIKA DKT. MAHIGA
KIONGOZI WA OPERESHENI MATUMBAWE MEJA JEN. HARRISON MASEBO AKIMWELEZA JAMBO MGENI RASMI WAZIRI WA MAMBO YA NJE DKT. AGUSTINE MAHIGA WAKTI WA KUFUNGA ZOEZI LA KIJESHI LA NCHI ZA JUMUIYA YA SADC |
BAADHI YA MAKAMNDA WA NCHI ZILIZOSHIRIKI ZOEZI LA PAMOJA LA KIJESHI KWA NCHI ZA JUMUIYA YA SADC |
ASKARI WA NCHI ZA JUMUIYA YA SADC WAKIWA KATIKA ZOEZI LA KUDHIBITI UHARAMIA WA KUTEKA MELI |
MKUU WA JESHI LA ULINZI JENERAL VENANCE MABEYO AKIZUNGUMZA WAKATI WA KUFUNGA ZOEZI LA PAMOJA LA KIJESHI KWA NCHI ZA SADC KULIA NI MKUU WA OPERESHENI MATUMBAWE MEJA JENERAL HARRISSON MASEBO |
WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA DKT AUGUSTINE MAHIGA AKIZUNDUA MRADI WA MAJI AMBAO UMEFADHILIWA NA NCHI ZA SADC |
MKUU WA JESHI LA ULINZI JENERALI VENANCE MABEYO AKIZUNGUMZA KATIKA HFLA YA KUFUNGA ZOEZI LA PAMOJA LA KIJESHI KWA NCHI ZA JUMUIYA YA SADC |
MGENI RASMI WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKAINO WA KIMATAIFA DKT. AUGUSTINE MAHIGA AKIFUNGA ZOEZI LA KIJESHI (OPERESHENI MATUMBAWE) KWA NCHI ZA SADC |
BAADHI YA VIONGOZI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA WAKATI WA KUFUNGA ZOEZI LA KIJESHI KWA NCHI ZA JUMUIYA YA SADC |
Waziri wa mambo ya nje
ushirikiano wa kimataifa na kikanda Dkt Augustine Mahiga amesema ushirikiano wa
ulinzi wa majeshi ya nchi za Jumuiya ya SADC
umekua mkombozi na tegemeo kubwa katika kutatua migogoro barani afrika .
Kauli hiyo ametoa wakati
akifunga mafunzo ya mwezi mmoja ya kijeshi
nchi za jumuiya ya SADC yaliyofanyika
wilayani muheza mkoani Tanga.
Dkt Mahiga amesema kuwepo
kwa ushirikiano huo wa majeshi ni mkakati maalum wa kuimarisha ulinzi katika
nchi za ukanda huo pamoja na kukabilana na matishio ya ugaidi biashara haramu na
uharamia
Akizungumzia mafanikio ya
zoezi hilo waziri Mahiga amesema limimarisha
ushirikiano na raia kutokana na
kuishiriki katika shughuli mablimbali za kijamii
Kwa upande wake mkurugenzi
mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya muheza
Luiza Mlelwa ameshukuru majeshi
ya nchi za SADC kutokana na msaada wa ukarabati wa miundombinu ya maji na kutoa huduma za afya wakti wa zoezi hilo.
.
Zoezi hilo la kijeshi lililopewa jina la Matumbawe limejikita katika kukabiliana na vitendo vya ugaidi
na uharamia wa kuteka meli.
………………………………
No comments: