KAMPUNI YA SARUJI TANGA CEMENT IMETOA MIFUKO 660 YENYE THAMANI YA MILIONI 8.3 KUCHANGIA HUDUMA ZA JAMII
Mkuu wa kitengo cha mahusiano MTANGA NURU akitoa maelezo kuhusu zoezi hilo |
Mkuu wa kitengo cha mahusiano MTANGA NURU akikabidhi mifuko ya saruji kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya korogwe mji Bw. JUMANNE SHAURI kwaajili ya ujenzi wa kituo cha afya |
ELIZABETH NYEMA Mganga mkuu halmashauri ya Korogwe mji akitoa neno la shukrani baada ya kukbidhiwa saruji hiyo. |
CATHERINE FREEDOM MWAKATUNDU Afisa mtendaji kata ya Mlalo akipokea saruji kwaajili ya ujenzi wa maabara katika shule ya NGAZI SEKONDARI Mlalo. |
No comments: