BARAZA LA HABARI LAPATA BODI MPYA
BAADHI YA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA MCT ULIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA KISENGA MILLENIUM TOWERS JIJINI DAR ES SALAAM |
NA HASSAN HASHIM DSM.
Mkutano mkuu wa mwaka wa wanachama wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) umefanya uchaguzi wa viongozi wa bodi ambao watatumikia Baraza hilo kwa kipindi cha miaka mitatu.
Waliochaguliwa ni Jaji mstaafu Thomas Mihayo ambaye amerudishwa katika nafasi ya Rais na makamu wake Hassan Mitawi wajumbe wa bodi ni Wallece Maugo Bakari,Machumu Advocate Anna Henga, Edda Sanga,Dina Chahali, Jaji mstaafu Juxon Mlay na Dkt. Edmund Mndolwa.
....................
No comments: