PICHA MBALI MBALI ZA KATIBU MTENDAJI WA BARAZA LA HABARI TANZANIA (MCT) BW. KAJUBI MKAJANGA ALIPO TEMBELEA VITUO MBALI MBALI VYA REDIO JIJINI TANGA
| Katibu mtendaji Baraza La Habari Tanzania bw. KAJUBI MKAJANGA akitembelea radio marifafa jijini Tanga |
| Mwenyekiti wa Tanga Press Club Bw. Hassan Hashim akitoa mwaelezo kwa katibu mtendaji wa baraza la habari Tanzania Bw.. Kajubi Mkajnga wakati wa ziara yake jijini Tanga. |
| katibu mtendaji wa baraza la habari Tanzania Bw.. Kajubi Mkajnga akikabidhi katiba kwa Meneja kituo cha Maarifa FM Bw. Abubakar Amin |
| Meneja wa radio Noor FM akitoa maelezo kwa katibu mtendaji wa baraza la habari Tanzania Bw.. Kajubi Mkajnga |
| katibu mtendaji wa baraza la habari Tanzania Bw.. Kajubi Mkajnga akikabidhi katiba kwa Meneja kituo cha Pangani Fm. |
| Picha ya pamoja katibu mtendaji wa baraza la habari Tanzania Bw. Kajubi Mkajnga na watangazaji wa kituo cha Pangani FM |

No comments: