|
Waziri wa afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto Mh. Ummy Mwalimu akiongea na washiriki wa mafunzo ya ujasiria mali |
|
Waziri wa afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto Mh. Ummy Mwalimu akitenta jambo na DC wa Wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa na katibu tawala mkoa Tanga ENG. Zenna Said |
|
Washiriki wa mafunzo |
|
DOTO
MNYADI MENEJA MAWALIANO BRAC |
|
DC TANGA BW. THOBIAS MWILAPWA AKISALIMIA WASHIRIKI |
|
Katibu Tawala mkoa Tanga ENG. Zenna Said |
|
Washiriki wakikabidhiwa vifaa |
Waziri wa afaya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto Ummy Mwalimu ametoa wiki mbili kwa Maafisa maendeleo ya jamii kukusanya taarifa sahihi na kuziwasilisha kweke zikibainisha kiasi cha fedha zilizotolewa na halmashuri kwa ajili ya kusaidia vikundi vya akinamama wasiriamali nchini.
Agizo hilo amelitoa wakati akifunga mafunzo ya wajasiriamaili yaliyotolewa na shirika lisilo la kiserikali la Brac jijini hapa
Amesema serikali haitawavumilia maafisa maendeleo ya jamii watakao shindwa kutekeleza wajibu wao na kuahidi kwachukulia hatua za kinidhamu .
Kwa upande wake meneja mawasiliano wa shirika la Brac Doto Mnyadi amesema kupitia mradi huo shirikal limeweza kutoa vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 100 na 53 kwa wanafunzi 700 waliopata mafunzo
Wakizungumza katika hafla hiyo baadhi ya wahitimu wa mafunzo wamesema elimu waliyopata pamoja na vifaa wataitumia kuboresha miradi yao.
No comments: