SHIRIKISHO LA SOKA NCHINI TFF LIMETOA MIPIRA 100 KWA AJILI YA KUENDELEZA SOKA KWA VIJANA WENYE UMRI WA CHINI YA MIAKA 15 MKOANI TANGA.
AFISA MICHEZO MKOA WA TANGA DIGNA TESHA AKIZUNGUMZA KATIKA HAFLA YA KUKABIDHI MIPIRA ILIYOFANYIKA UWANJA WA MKWAKWANI KULIA NI KATIBU WA CHAMA CHA SOKA MKOA WA TANGA BEATRICE SHABANI |
MAKAMU MWENYEKITI WA CHAMA CHASOKA MKOA WA TANGA JUMA CHAPONDA KUSHOTO AKIKABIDHI MIPIRA 10 KWA KATIBU WA CHAMA CHA SOKA WILAYA YA TANGA SALUM KALOS |
No comments: