KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE ARDHI MALI ASILI NA UTALII ILIPOTEMBELEA KITONGOJI CHA UVINJE WILAYANI BAGAMOYO AMBACHO KIMEKUWA NA MGOGORO NA TANAPA
WAJUMBE WA KAMATI Y7A KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI MALI ASILI NA UTALII WAKIWA KATIKA ENEO LENYE MGOGORO KATI YA KITONGOJI CHA UVINJE NA TANAPA |
BAADHI YA WAJUMBE WAKAMATI YA BUNGE NA WANANCHI WA KITONGOJI CHA UVINJE WAKIPIATA KATIKA ENEO LINALOTARAJIWA KUJENGWA HOTEL NA MWEKEZAJI |
MWENYEKITI WA KITONGOJI CHA UVINJE HUSSEIN AKIDA AKITOA MAELEZO KWA KAMATI YA BUNGE MAKUBALIANO BAINA YA KITONGOJI NA MWEKEZAJI |
MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO ALHAJI MAJJID MWANGA(MWENYE SHATI LA MAUA) AKITOA MAELEZO KUHUSU MPAKA WA WILAYA YA PANGANI NA BAGAMOYO KATIKA KITONGOJI CHA UVINJE. |
JENGO LINALODAIWA KUWA NI LA MWEKEZAJI KATIKA KIJIJI CHA UVINJE WILAYANI BAGAMOYO |
NAIBU WAZIRI MALI ASILI NA UTALII RAMO MAKANI AKIELEZA JAMBO WAKATI WA ZIARA YA KAMATI YA BUNGE ILIPOTEMBELEA KITONGOJI CHA UVINJE WILAYANI BAGAMOYO |
MWENYEKITI WA KITONGOJI CHA UVINJE HUSSEIN AKIDA AKIELEZEA HISTORIA YA KITONGOJI HICHO CHENYE JUMLA YA WAKAZI 70 KWENYE MKUTANO NA KAMATI YA BUNGE |
Add caption |
No comments: