BALOZI WA KUWAIT AKABIDHI VIFAA WODI YA WAZAZI NGAMIANI
BALOZI WA KUWAIT AKISALIMIANA NA MGANGA WA KITUO CHA NGAMIANI DKT MASHAKA WAKTI ALIPOTEMBELEA KITUO HICHO |
BALOZI WA KUWAIT AKIWASILI KITUO CHA AFYA NGAMIANI |
MKURUGENZI WA JIJI DAUD MAYEJI (KULIA)MEYA SELEBOS BALOZI WA KUWAIT NA MSAIDIZI WAKE |
BALOZI WA KUWAIT NCHINI AKIKABIDHI VIFAA KWA MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA TANGA MHINA MUSTAFA SELEBOS |
BALOZI WA KUWAIT NCHINI JASEM ALNAJEM AKIWA AMEBEBA MTOTO WAKATI ALIPOTEMBELEA KITUO CHA AFYA NGAMIANI NA KUTOA MSAADA KWA AKINAMAMA WAJAWAZITO |
No comments: