BALOZI WA KUWAIT NCHINI AZINDUA KISIMA CHA MAJI SHULE YA SEKONDARI OLD TANGA
SHEIKH MUSSA KUTOKA TAASISI YA AFRICAN MUSLIM AGENCY AKIFANYA UKALIMANI WAKTI WA HAFLA YA UZINDUZI WA KISIMA |
MWENYEKITI WA BODI YA SHULE AMBAYE NI MEYA MSTAAFU SALIM KISAUJI AKITOA NENO WAKATI WA HAFLA HIYO |
BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI OLD TANGA WAKISHUHUDIA UZINDUZI WA KISIMA CHA MAJI |
MEYA WA JIJI LA TANGA MUSTAFA SELEBOS AKIMTAMBULISHA BALOZI WA KUWAIT NCHINI KATIKA HAFLA YA UZINDUZI WA KISIMA CHA MAJI |
MSAIDIZI WA BALOZI AKITETA JAMBO NA MEYA WA JIJI LA TANGA |
BALOZI WA KUWAITI NCHINI JASEM AL NAJEM AKINYWA MAJI BAADA KUZINDUA KISIMA KILICHOJENGWA NA TAASISI YA AFRICAN MUSLIM AGENCY |
MWENYEKITI WA BODI YA SHULE SALIM KISAUJI AKINYWA MAJI KATIKA HAFLA YA UZINDUZI |
WANAFUNZI WA OLD TANGA SCHOOL WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA BALOZI WA KUWAIT |
BAADHI YA WANAFUNZI WAKIWA WAMEBEBA NDOO ZA KUHIFADHIA MAJI AMBAZO ZIMETOLEWA NA BALOZI WA KUWAITI MARA BAADA YA UZINDUZI WA KISIMA |
Add caption |
No comments: