ZIARA YA WAZIRI WA MAJI WILAYANI MKINGA
ENEO LA UTORO WA MAJI (SPILWAY ) KATIKA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA DODA WILAYANI MKINGA |
MKUU WA WILAYA YA MKINGA YONA MAKI AKISOAM TAARIFA KWA WAZIRI WA MAJI |
WAZIRI WA MAJI MHANDISI ISSACK KAMWELE AKIKAGUA UJENZI WA BWAWA LA MAJI DODA AMBAPO ALIAGIZA ,KANDARASI WA MRADI HUO KUANDIKIWA BARUA YA ONYO |
WAZIRI WA MAJI MHANDISI ISSACK KAMWELE AKIWA NA VIONGOZI WA WILAYA YA MKINGA |
MHANDISI WA MAJI WILAYA YA MKINGA M. NDUNGURU AKITOA MAELEZO KWA WAZIRI |
WAZIRI WA MAJI AKISISTIZA JAMBO WAKATI WA ZIARA YAKE WILAYANI MKINGA |
BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI DUGA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAZIRI WA MAJI |
ENEO LA DARAJA LA KINYATU WILAYANI MKINGA AMBALO LILIKUSUDIWA KUJENGWA CHANZO CHA MAJI |
No comments: