Header Ads


SHULE YA MSINGI PONGWE YENYE MAHITAJI MAALUM YAPATIWA MSAADA WA SARUJI TANI 38 (MIFUKO 760.)

MGENI RASMI MKUU WA WILAYA YA TANGA THOBIAS MWILAPWA AKIZUNGUMZA KATIKA HAFLA YA UZINDUZI WA UJENZI WA MADARASA MATATU NA KUPOKEA MSAADA WA TANI 38 ZA SARUJI KUTOKA TANGA CEMENT KWA AJII YA SHULE YA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM
MKURUGENZI MTENDAJI  TANGA CEMENT REINHADIT SWAAT AKIZUNGUMZA KATIKA HAFLA YA KUKABIDHI MSAADA WA TANI  38 ZA SARUJI KWA SHULE YA MSINGI PONGWE  YENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM




Mkuu wa wilaya Tanga THOBIAS MWILAPWA akishiriki ujenzi wa madarasa matatu shule ya msingi pongwe




Mkurugenzi TANGA CEMENT Reinhardt Swart akishiriki ujenzi wa madarasa matatu shule ya msingi pongwe


No comments:

Powered by Blogger.