TAASISI YA MAENDELEO BRAC YAWEZESHA WASICHANA 114 KUHITIMU ELIMU YA SEKONDARI NJE YA MFUMO RASMI
KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA MHANDISI . ZENNA SAIDI AKIHUTUBIA WAHITIMU KIDATO CHA NNE NJE YA MFUMO RASMI WALIOFADHILIWA NA BRAC |
BAADHI YA WASICHANA WALIOHITIMU MASOMO YA SEKONDARI NJE YA MFUMO RASMI KUPITIA TAASISI YA BRAC TANGA |
MENEJA WA MIRADI BRAC TANGA MANOAH WILLIAM AKITOA MAELEZO KUHUSU PROGRAM YA KUWEZESHA VIJNA WA KIKE KIELIMU |
MANEJA WA MIRADI YA ELIMU BRAC TANZANIA SUSAN BIPA AKIZUNGUMZA KATIKA HAFLA YA KUWAPONGEZA WAHITIMU |
BAADHI YA WAHITIMU WAKIPOKEA VYETI |
No comments: