Header Ads


MAKTABA YA KISASA KATIKA HALMASHAURI YA MJI WA KOROGWE KUKAMILIKA BAADA YA MWEZI MMOJA


MBUNGE WA KOROGWE MJI MARY CHATANDA AKINGALIA UJENZI WA MAKTABA UNAVYOENDELEA 


MAKTABA KUBWA AMBAYO ITAWAEZA KUHUDUMIA WANAFUNZI WA VYUO,SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI KOROGWE  INATARAJIWA KUKAMILIKA BAADA YA MWEZI MMOJA SERIKALI IMETOA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 240 KWA AJILI YA UJENZI HUO


MENYEKITI WA MTAA WA MBEZA RAJABU NZIGE AKITETA JAMBO NA MBUNGE WA KOROGWE MJI WAKATI ALIPOTEMBELEA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA YA SHULE YA MSINGI MBEZA NA MBEZA MAZOEZI MBUNGE HUYO AMEAHIDI KUCHANGIA MATOFALI 1200 KWA KILA SHULE

MBUNGE WA KOROGWE MJI MARY CHATANDA AKIZUNGUMZA WAKATI WA ZIARA YA KUTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE 



UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA SHULE YA MSINGI MBEZA MAZOEZI 



No comments:

Powered by Blogger.