MKUU WA MKOA WA TANGA MARTINE SHIGELA ATIMIZA AHADI YAKE AKABIDHI MILIONI 7KWA WANAFUNZI WALIOPATA JANGA LA MOTO KOROGWE GIRLS
KATIBU TAWALA WILAYA KOROGWE AKIZUNGUMZA KATIKA HAFLA YA KUKABIDHI FEDHA KWA AJILI YA WANAFUNZI KOROGWE GIRLS |
AFISA ELIMU MKOA WA TANGA MAYASSA HASHIM AKIZUNGUMZA KABLA YA KUABIDHI MSAADA WA FEDHA ZILIZOTOLEWA NA MKUU WA MKOA WA TANGA |
KATIBU TAWALA WILAYA YA KOROGWE REHEMA BWASI AKIMKABIDHI MKURUGENZI HALMASHAURI YA MJI FEDHA KWA AJILI YA KUNUNUA VIFAA VYA WANAFUNZI VILIVYOUNGUA KATIKA BWENILA MAPINDUZI LILOTEKETEA KWA MOTO |
MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MJI WA KOROGWE JUMANNE SHAURI AKIMKABIDHI MWENYEKITI WA BODI YA SHULE KOROGWE SHILI MIIONI TANO TASLIM NA HUNDI YA MILIONI KWAJILI YA KUNUA MAHITAJI YAWANAFUNZI WALIOPATA JANGA LA MOTOKUTOKA KWA MKUU WA MKOA WA TANGA
No comments: