PICHA MBALIMBALI KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA TANGA.
MWENYEKITI WA KIKAO CHA BODI YA BARABARA AMBAYE NI MKUU WA MKOA WA TANGA MARTINE SHIGELA AKISILIZA HOJA ZA WAJUMBE WAKATI WA KIKAO HICHO |
KATIBU TAWALA MSAIDIZI MONICA KINALA (KULIA) NA MRATIBU WA WAKALA WA BARABARA MJINI NA VIJIJINI TARURA MESHACK SWAI WAKISIKILIZA HOJA ZA WAJUMBE WA BODI YA BARABARA MKOA |
BAADHI YA WAJUMBE WAKIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA TANGA |
MENEJA WA WAKALA WA BARABARA MKOA WA TANGA (TANROADS) ALFRED NDUMBARO AKIWASILISHA TAARIFA KATIKA KIAO CHA BODI YA BARABARA |
MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI WA KOROGWE MHE. NGONYANI AKIZUNGUMZA KATIKA KIKAO CHA BODI YA BARABARA |
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUHEZA LUIZA MLELWA AKIZUNGUMZA KATIKA KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA TANGA |
MENEJA WAKALA WA MITAMBO TEMESA MAGRETH GINA AKIWASILISHA TAARIFA KATIKA KIKAO HICHO |
MKUU WA WILAYA YA LUSHOTO JANUARY SIGARETI (KULIA) AKIJADILIANA NA MWENYEKITI WA HALMASHAURI LUCAS SHEMNDOLWA WAKATI WA KIKAO CHA BODI YA BARABARA |
KUDRA KILEO MWANDISHI WA HABARI TK FM AKIWAJIBIKA WAKATI WA KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA |
MRATIBU WA TARURA MKOA WA TANGA MHANDISI MESHACK SWAI AKIWASILISHA TAARIFA KATIKAKIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA |
MEYA WA JIJI LA TANGA MHINA MUSTAFA SELEBOS AKICHANGIA HOJA YA WAKALA WA BARABARA TARURA |
No comments: