KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI MKOA( RCC) CHAPENDEKEZA WADAU WA ELIMU WAKUTANE WILAYANI LUSHOTO KUJADILI TATIZO LA MIMBA SHULENI
Wajumbe wa kamati ya ushauri mkoa wa Tanga RCC wakisikiliza hoja |
Mkuu wa mkoa Martine shigela akiongoza kikao cha kamti ya ushauri RCC (kulia kwake) Katibu Tawala mkoa Tanga Zena Said (kushoto )ni mwenyekiti wa CCM mkoa Henry Shekifi |
Afisa elimu Mkoa wa Tanga Mayasa Hashim akizungumza kuhusu tatizo la mimba na utoro shuleni |
Mkuu wa wilaya ya Handeni Godwin Gondwe akizungumza katika kikao cha RCC |
Nwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga Henry Dafa Shekifu akizungumza wakati wa kikao cha kamti ya ushauri mkoa RCC |
Wakuu wa wilaya za Muheza Mwanaasha Tumbo (kulia) na Zainab Abdalah- Pangani wakiwa katika kikao cha RCC |
No comments: