Header Ads


MUHEZA VETERAN YAIBUKA KIDEDEA KWA SUCA VETERAN YA DAR ES SALAAM YAICHAPA 4- 3 KWA PENATI

MGENI RASMI KATIKA BONANZA LA PASAKA MBUNGE WA MUHEZA ADADI RAJABU  AKIKAGUA TIMU YA MUHEZA VETERAN

Add caption
TIMU YA MUHEZA VETERANI
TIMU YA SUCA VETERANI 


MBUNGE WA MUHEZA ADADI  AKIZUNGUMZA NA VETERANI  WA MUHEZA NA DAR ES SALAM KABLA YA MCHEZO WA KIRAFIKI 
Add caption


MBUNGE ADADI AKITOA NASAHA KWA WACHEZAJI KABLA YA MCHEZO HUO 



MAVETERANI WA MUHEZA NA DAR WAKICHUANA 


KAZI KAZI 


SAID SWED WA VETERAN DAR AKICHUANA NAMCHEZAJI WA VETERAN MUHEZA



MCHEZAJI WA VETERAN MUHEZA AKIFURAHIA ZAWADI YA MBUZI BAADA YA KUIBUKA NA USHINDI WA MABAO  4 -3 KWA MIKWAJU YA PENALTI 

No comments:

Powered by Blogger.