MKUU WA MKOA WA TANGA MARTIN SHIGELA AZINDUA BODI YA PAROLE AWATAKA KUFANYAKAZI KWA UADILIFU
Mkuu wa Magereza Mkoa wa Tanga Kamishina msaidizi mwandamizi John Masunga akisoma taarifa kwa Mkuu wa mkoa wa Tanga wakati wa uzinduzi wa Bodi ya Parole |
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigela akitoa nasaha zake kwa wajumbe wakati wa uzinduzi wa bodi ya ya Parole |
Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Parole mkoa wakimsikilizmgeni rasmi wakati wa uzinduzi wa bodi hiyo |
Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigela akizungumza na wajumbe wa Bodi ya Parole katika hafla ya uzinduzi wa Bodi hiyo uliofanyika ofisini kwake |
Mwenyekiti wa Bodi ya Parole mkoa wa Tanga Bi Evelyne Hija akitoa shukran wakati wa uzinduzi wa bodi hiyo |
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigela katikati akiwana Mwenyekiti wa Bodi ya Parole mkoa Bi evelyn Hija kushoto Kulia ni Mkuu wa Magereza mkoa wa Tanga Kamishina msaidizi mwandamizi John Masunga. |
wajumbe wa Bodi ya Parole mkoa wa Tanga wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigela mara baada ya uzinduzi |
No comments: