PICHA MBALIMBALI MKUTANO WA NAIBU WAZIRI WA MAJI JUMAA AWESO WILYANI PANGANI
MKUU WA WILAYA PANGANI ZAINABU ABDALAH AKIMKARIBISHA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMBAYE PIA NI MBUNGE WA PANGANI JUMAA AWESSO |
BAADHI YA VIONGOZI WAKIWA NAIBU WAZIRI |
BAADHI YA WANNCHI WAKIMSIKILIZA MBUNGE WAO |
DIWANI WA KATA YA PANGANI MASHARIKI MJINI JOHN SEMKANDE AKIWA NA MBUNGE WAJIMBO HILO AMBAYE NI NAIBU WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI JUMAA AWESSO |
MBUNGE WA JIMBO LA PANGANI NAIBU WAZIRI MAJI NA UMWAGILIAJI JUMAA AWESSO AKIHUTUBIA WANANCHI WILAYANI HUMO |
No comments: