PICHA MBALIMBALI ZIARA YA NAIBU WAZIRI MIFUGO NA UVUVI ABDALAH ULEGA KATIKA KIWANDA CHA TANGA FRESH
MENEJA WA KIWANDA CHA KUCHAKATA MAZIWA TANGA FRESH MICHAEL KARATAKITOA TAARIFA KWA NAIBU WAZIRI MIFUGO ABDALAH ULEGA ALIPOTEMBELEA KIWANDA HICHO |
AFISA MIFUGO MKOA WA TANGA DKT ZODIAC LYIMO AKIWANA KATIBU TAWALA WILAYA WAKIMSIKILIZA NAIBU WAZIRI |
NAIBU WAZIRI MIFUGO AKIANGALIA UCHAKATAJI WA MAZIWA |
NAIBU WAZIRI MIFUGO NA UVUVI ABDALLAH ULEGA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI |
NAIBU WAZIRI AKIZUNGUMZANA BAADHI YA WADAU WA MAZIWA KUTOKA UHOLANZI |
No comments: