WAZIRI TAMISEMI SULEIMAN JAFO AKITOA MAELEZO KWA WATENDAJI WA SEREKALI JIJINI TANGA |
MKUU WA WILAYA THOBIAS MWILAPWA AKITOA MAELEZO KUHUSU UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO JIJINI TANGA KWA WAZIRI TAMISEMI SULEIMAN JAFO |
WAZIRI TAMISEMI SULEIMAN JAFO AKIWEKA JIWE LA MSINGI KIOMONI |
WAZIRI TAMISEMI SULEIMAN JAFO AKIHUTUBIA WANANCHI NA WATENDAJI SHULE YA MSINGI BOMBO |
MAJENGO MAPYA YA SHULE YA MSINGI BOMBO BAADA YA MAJENGO YA ZAMANI KUSITISHWA KUTUMIWA KUTOKANA NA UCHAKAVU |
JENGO LA ZAMANI LA SHULE YA MSINGI BOMBO LILILO SITISHWA MATUMIZI KUTOKANA NA UCHAKAVU |
WAZIRI TAMISEMI SULEIMAN JAFO |
Hassan
Hashim Tanga.
Halmashauri
nchini zimetakiwa kuongeza juhudi ya kuboresha miundombinu katika shule za
serikali ili kuondoa dhana iliyojengeka kwamba
elimu bora inapatikana katika shule binafsi.
Kauli
hiyo imetolewa na waziri wa nchi ofisi ya Rais tamisemi Suleiman Jafo wakati
ziara yake mkoani hapa.
Amesema kushuka kwa kiwango cha taaluma katika shule
za serikali kumechangiwa uchakavu wa miundombinu na kwamba serikali imejipanga
kuzikarabati shule kongwe hapa nchi
Akizungumza
katika ufunguzi wa bweni la shule ya wanafunzi wenye mahitaji maalum ya
Pongwe waziri Jafo amewataka wamiliki wa
viwanda vya saruji mkoani Tanga kusaidia mifuko 500 kwa ajili ya ujenzi wa uzio
katika shule hiyo ili kuimarisha usalama
Awali akisoma risala kwa
mgeni rasmi Mkurungenzi wa taasisi ya kusaidia jamii CDTF Henry Mgingi amesema
lengo ujenzi wa wa bweni ni kuongeza ulinzi kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi
na wale wenye uoni hafifi wanasoma kati ka shuel hiyo.
Katika ziara hiyo
waziri Jafo alitembelea eneo la uwekezaji wa viwanda Pongwe ujenzi wa stand na
shule mbalimbali za jijini hapa
…………………………
No comments: