HALMASHAURI YA WILAYA YA MUHEZA YATOA MIKOPO YA SHILINGI MILIONI KUMI KWA WAJASIRIAMALI
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza Bakari Mhando na mkurugenzi wa Halmashauri wakiwa katika hafla ya kukabidhi mikopo kwa vikundi vya wajasiriamali |
baadhi ya watendaji na madiwani wakikatika hafla ya kukabidhi mikopo |
Add caption |
Afisa maendeleo ya jamii Vije Mfaume akitoa maelezo kuhusu mikopo ya asilimia tano inayotolewa na halmashauri kupitia makusanyo ya mapato ya ndani |
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya muheza Luiza Mlelwa akizungumza kabla ya kumkaribisha mwenyekiti |
Mkuu wa wilaya ya Muheza Mhandisi Mwanaasha Tumbo akizungumza katika hafla hiyo |
Kikundi cha vijana cha malihai ambacho kimekabidhiwa mkopo wa milioni tano kwa ajili ya kununua mashine ya kufyatua matofali |
Kikundi cha akinamama cha Tutunze Mazingira kikipokea hundi kwa ajili ya kununua pikpiki ya tairi tatu kwa ajili ya shughuli za uzoaji wa takataka |
Add caption |
No comments: