NAIBU WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI MHE. JUMAA AWESO AKIKAGUA UTEKLEZAJI WA MIRADI MBALIMBALI MKOANI RUKWA
.Katika ziara yake mkoani
Rukwa, Naibu waziri wa maji na umwagiliaji Mhe.Aweso ametembelea ziwa
Tanganyika na hapo anasalimiana na Wakongo wanaosubiri Boti kuelekea kongo DRC Kupitia
Ziwa Tanganyika.
|
Baada ya kutembelea mradi wa maji Kisula, Mhe.Aweso amezungumza
na wakazi wa eneo hilo na kupokea changamoto zao
|
Pia katika Ziara yake wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa,
MheAweso Ametembelea mradi wa maji Kisula na amejionea utendaji na maendeleo ya
mradi huo
|
Naibu waziri wa maji na Umwagiliaji Mhe.Aweso, ametembelea
mradi wa maji bwawa la kawa wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa, na amejionea ujenzi na
miundombinu katika Bwawa hilo.
|
Naibu waziri wa maji na umwagiliaji Mhe.Jumaa
aweso mkoani Rukwa, hapo akikagua mradi wa maji wa matanga kijiji cha kisumba. |
No comments: