KAMPUNI YA SARUJI YA TANGA CEMENT IMEKABIDHI MIFUKO 600 YENYE THAMANI YA MIL. 7,965,000 KWA MBUNGE VITI MAALUM WA SINGIDA BI. AYSHAROSE MATTEMBE KUBORESHA MIUNDO MBINU YA ELIMU MKOANI SINGIDA.
MENEJA UZALISHAJI TANGA CEMENT ENG. BENEDICT LEMA KUSHOTO AKIMKABIDHI MBUNGE WA VITI MAALUM SINGIDA BI. AYSHAROSE MATTEMBE |
MENEJA MAWASILIANO TANGA CEMENT BI. MTANGA NURU KUSHOTO AKIMKABIDHI MBUNGE VITI MAALUM SINGIDA BI. AYSHAROSE MATTEMBE |
MENEJA UDHIBITI MITAMBO TANGA CEMENT BW. PAMPHIL MUMWI KUSHOTO AKIMKABIDHI MBUNGE VITI MAALUM SINGIDA BI. AYSHAROSE MATTEMBE |
MENEJA UDHIBITI GHARAMA TANGA CEMENT BW. AHMED MHADA KUSHOTO AKIMKABIDHI MBUNGE VITI MAALUM SINGIDA BI. AYSHAROSE MATTEMBE |
MHASIBU WA MAMBO YA GHARAMA TANGA CEMENT JUMA KALUTU KUSHOTO AKIMKABIDHI MBUNGE VITI MAALUM SINGIDA BI. AYSHAROSE MATTEMBE |
SAMWEL SHOO MENEJA MAUZO NA USAMBAZAJI TANGA CEMENT KUSHOTO AKIMKABIDHI MBUNGE VITI MAALUM SINGIDA BI. AYSHAROSE MATTEMBE |
MENEJA MAWASILIANO TANGA CEMENT BI. MTANGA NURU AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI |
MBUNGE VITI MAALUM SINGIDA BI. AYSHAROSE MATTEMBE AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI |
No comments: