MAMLAKA YA UDHIBITI CHAKULA NA DAWA NCHINI TFDA YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI TANGA
KAIMU MKURUGENZI HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA DKT JERRY KANGA AKIFUNGUA SEMINA YA WAJASIRIAMALI |
AZIZA RAMADHANI MJASIRIAMALI WA KIKUNDI CHA KOPPA KABANA AKIONYESHA BIDHAA WAKATI WA SEMINA YA TFDA |
MWANDISHI WA HABARI MWANDAMIZI WA TBC TANGA BERTHA MWAMBELA AKINGALIA BAADHI YA BIDHAA ZA WAJASIRIAMALI - KULIA NI AFISA HABARI NA HUDUMA KWA WATEJA TFDA ROBETER FERUZ |
BAADHI YA WASHIRIKI WA SEMINA YA SIKU MOJA YA WASIRIAMALI WAKISIKLIZA MADA |
AFISA HABARI NA HUDUMA KWA WATEJA MAMLAKA YA UDHIBITI CHAKULA NA DAWA( TFDA) ROBETER FERUZ AKIZUNGUMZA WAKATI WA UZINDUZI WA SEMINA KWA WAJASIRIAMALI JIJINI TANGA |
MJASIRIAMALI WA KIKUNDI CHA JEFUSO AKIONYESHA BIDHAA WANAZOZALISHA |
ABDALAAH ATHUMAN MKAGUZI TFDA KANDA YA KASKAZINI AKITOA MADA KATIKA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WAJASIRIAMALI MKOANI TANGA |
MGENI RASMI KAIMU MKURUGENZI HALMASHAURIYA JIJI LA TANGA JERRY KANGA AKIFUNGUA SEMINA YA WAJASIRIAMALI ILIYOENDESHWA NA MAMLAKAYA UDHIBITI WA CHAKULA NA DAWA TFDA |
No comments: