BANDARI YA TANGA YAJIPANGA KUONGEZA UFANISI KATIKA UTOAJI WA HUDUMA
Meneja wa Bandari Tanga Percival Salama akizungumza na Waandishi wa Habari mkoani Tanga kuhusu mipango na mikakati ya bandari hiyo kulia ni Afisa mipango wa Bandari Bi. Moshi Mtambalike. |
Baadhi ya waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa katika mkutano huo. |
Afisa habari na mahusiano Bandari yaTanga Bi. Moni Jarufu akizungumza katika mkutano Waandishi wa Habari. |
No comments: