UZINDUZI WA MICHEZO YA UMISETA TANGA COCA COLA WAGAWA VIFAA NA VINYWAJI
KILAMWANFUNZI ALIYENIGIA UWANJANI LAZIMA APATIWE KINYWAJI CHA KAMPUNI YA COCA COLA |
WANAFUNZI WAKIPATA VINYWAJI KUTOKA KWA WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA COCA COLA WAKATI WA WAKIINGIA UWANJANI |
BAADHI YA WANAFUNZI WASHULE MBALIMBALI WALIOHUDHURIA UZINDUZI HUO |
KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA ZENA SAID AKITOA SALAM ZAMKOA WAKATI WA UZNDUZI WA MICHEZO YA UMISETA NA KUGAWA VIFAA MKOANI TANGA |
MENEJA WA CHAPA YA COCA COLA SIA SHAYO AKIZUNGUMZA WAKATI WA UZINDUZI WA MICHEZO YA UMISETA NA KUGAWA VIFAA VYA MICHEZO MKOANI TANGA |
Add caption |
KATIBU WA BMT MOHAMED KIGANJA AKIZUNGUMZA WAKATI WA UZINDUZI WA MASHINDANO YA UMISETA MKOA WA TANGA |
MGENI RASMI MKUU WA MKOA WATANGA AKIZINDUA MASHINDANO YA UMISETA |
WACHEZAJI WA TIMU YA SOKA YA WANAWAKE KANGE WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA KATIBU TAWALA ZENA SAID (ALIYECHUCHUMAAA MBELE) |
WANAFUNZI NA MWALIMU WA WA TANGA SCHOOL WAKIPOKEA VIFAA VYA MICHEZO VILIVYOTOLEWA NA KAMPUNI YA COCACOLA |
WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI HORTEN WAKIOKEA JEZI ZILIZOTOLEWA NA KAMPUNIA YA COCACOLA |
WACHEZAJI WA TIMU ZA SOKA ZA WANAWAKE ZA EKERNFORDE NA KANGE WAKICHUANA KATIKA MCHEZO WA UTANGULIZI |
MENEJA WA CHAPA YA COCACOLA SIA SHAYO AKIMKABIDHI MPIRA MKUU WA MKOAWA TANGA MARTINE SHIGELA (KATIKATI )NI MOHAMEDI KIGANJA KATIBU WA BMT KULIA NI MKUU WA WILAYA YATANGA THOBIAS MWILAPWA |
MKUU WA MKOA WA TANGA MARTINE SHIGELA AKIPIGA DANADANA BAADA YA KUABIDHIWA MPIRA |
No comments: