SKAUTI MIKOKO GROUP KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPANDA MICHE 140,000 YA MIKOKO IKIWA NI KAMPENI YA KUTUNZA MAZINGIRA KATIKA FUKWE ZA BAHARI
WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA VODACOM WAKIWA KWENYE KAMBI YA SKAUTI ILIYOPO SHULE YA SEKONDARI KIHERE |
HALIMA BANDAWE (KULIA) AKIMKARIBISHA WAZIRI KWENYE KAMBI MAALUMILYOWEKWA NA VIJANA WA SKAUTI KATIKATI NI MENEJA MAWASILIANO NA MAHUSIANO VODACOM ROSELYNN MWORIA |
MENEJA MAWASILIANO NA MAHUSIANO VODACOM ROSELYNN MWORIA AKITOATAARIFA KWA WAZIRI MAKAMBA KABLA ZOEZI LAUPANDAJI MITI YA MIKOKO KUANZA |
WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA AKIZUNGUMZA NA VIJANA WA SKAUTI NA WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA VODA KABLA YA ZOEZI LA UPAMDAJI MIKOKO |
KAMISHINA WA SKAUTI PETER MAKUNDI AKITOA MAELEZO KUHUSU MRADI WA UPANDAJI MIKOKO |
MICHE YA MIKOKO ILIYOKWISHA PANDWA |
WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA SIMU YA CODACOM NA VIJANA WA SKAUT MIKOKO GROUP WAKISHIRIKI UPANDAJI WA MICHE HIYO ENEO LA PWANI YA MWAMBANI |
INAHITAJIKA KUWA NA MISULI YENYE NGUVU KUPITA KWENYE TOPE HILI KWENDA KUPANDA MIKOKO |
ZOAZI LA UPANDAJI MIKOKO LIKENDELEA |
BAADHI YA VIJANA WA SKAUTI NA WAFANYAKAZI WA VODACOM WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA JANUARI MAKAMBA BAADA YA ZOEZI LA KUPANDA MITI YA MIKOKO |
WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO MAZINGIRA JANUARI MAKAMBA AKIZUNGUMZA MARA BAADA YA KUHITIMISHA ZOEZI LA UPANDAJI MIKOKO |
No comments: