TPA YATOA MSAADA WA VITANDA VYA KUJIFUNGULIA AKINAMAMA HOSPITALI YA WILAYA YA PANGANI
AFISA HABARI NA MAHUSIANO MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANGA MONI JARUFU AKIKAGUA BAADHI YA VITANDA KABLA YA MAKABIDHIANO |
BAADHI YA VITANDA 10 VYA KUJIFUNGULIA AKINAMAMA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI KUMI NA LAKI MBILI AMBAVYO VIMETOLEWA MSAADA KATIKA HOSPITALI YA WALAYA YA PANGANI NA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TPA |
MKUU WA WILAYA PANGANI ZAINAB ABDALAH (KUSHOTO) KATIKATI NI MKUU WA BANDARI YA TANGA PERCIVAL SALAMA NA KULIA NI MBUNGE WA JIMBO LA PANGANI AMBAYE PIA NI NAIBU WAZIRI WA MAJI JUMAA AWESSO |
MENEJA WA BANDARI YA TANGA PERCIVAL SALAMA AKIZUNGUMZA KABLA YA KUKABIDHI VITANDA 10 VYA KUJIFUNGULIA AKINAMAMA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA PANGANI |
MKUU WA WILAYA YA PANGANI ZAINAB ABDALAH AKIZUNGUMZA KATIKA HAFLA YA KUKABIDHI VITANDA VYA KUJIFUNGULIA AKINAMAMA |
MKUU WA WILAYA YA PANGANI ZAINAB ABDALAH AKIMKABIDHI VITANDA KAIMU MKURUGENZI WA HALMASHAURI HIYO DAUD MLAHAGWA |
KAIMU MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA PANGANI DAUD MLAHAGWA KUSHOTO AKIMKABIDHI VITANDA 10 VYA KUJIFUNGULIA AKINAMAMA KWA MGNAGA MKUU WA WALAYA JUMA MFANGA VITANDA HIVYO VIMETOLEWA MSAADA NA TPA |
No comments: