UKARABATI WA BWENI LA WASICHANA KATIKA SHULE YA SEKODARI KOROGWE GIRLS UNATARAJIWA KUKAMILIKA WIKI IJAYO
UKARABATI WA BWENI LA WASICHANA KOROGWE GIRLS UKIENDELEA HIVI NDIO LINAVOONEKANA KWA SASA |
BWENI LINAVOONEKANA KWA NDANI WAKATI LILPOUNGUA |
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI KOROGWE AKIANGALIA UKARABATI WA BWENI LA WASICHANA LILOUNGUA MOTO MACHI 04 MWAKA HUU |
BWENI LINAVYONEKANA KWA NDANI BAADA YA UKARABATI |
BWENI LINAVYOONEKANA KWA SASA |
BWENI LINAYVOONEKA WAKATI LILIPOUNGUA |
DIWANI WA KATA YA MTONGA FRANSIC KOMBA KATIKATI AKIMWELEZA MKURUGENZI WA HALMASHAURI UJENZI WA BWENI LA WANAFUNZI SHULE YA SEKONDARI SEMKIWA UNAVYOENDELEA KULIA NI MMOJA WA MAFUNDI |
UJENZI WA BWENI KATIKA SHULE YA SEKODARI SEMKIWA AMBAO UTAGHARIMU SHILINGI MILIONI 75 |
MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MJI WA KOROGWE AKISHIRIKI UJENZI WA BWENI SEKONDARI YA SEMKIWA |
DIWANI WA KATA YA MTONGA FRANSIC KOMBA KUSHOTO AKIANGALIA UJENZI WA BWENI KATIKA SHULE YA SEKONDARI SEMKIWA |
No comments: