MAADHIMISHO SIKU YA UPANDAJI MITI HALMASHAURI YA KOROGWE MJI YAWEKA LENGO LA KUPANDA MITI YA BIASHARA
,MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA MJI KOROGWE JUMANNE SHAURI AKICHIMBA SHIMO KWA AJI;LI YA KUPANDA MTI |
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI KOROGWE JUMANNE SHAURI AKIZUNDUA SIKU YA UPANDAJI MITI WILAYANI HUMO |
DIWANI WA KATA YA MAJENGO WILAYANI KOROGWE MUSTAFA SADIK AKIPANDA MTI |
BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MAJENGO WAKISHIRIKI KATIKA SIKU YA UPANDAJI MITI |
MKURUGWNZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA MJI KOROGWE AKIHUTUBIA WANANCHI WALIOJITOKEZA SIKU YA UPANDAJI MITI |
DIWANI WA KATA YA MAEJENGO KOROGWE MUSTAFA SADIK AKITOA SALAMU KATIKA HAFLA YA SIKU UPANDAJI MITI |
AFISA MAZINGIRA HALMASHAURI YA MJI WA KOROGWE LUNGO ABDALAH AKIZUNGUMZA WAKATI WA SIKU YA UPANDAJI MITI |
BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MAJENGO WAKIMSIKILIZA MGENIA RASMI |
No comments: