UMMY ATOA MSAADA WA FUTARI KWA TAASISI ZA KULEA YATIMA NA VIJANA WALIOKATIKA MAZINGIRA MAGUMU
BAADHI YA VIONGOZI WA TAASISI ZA KULEA YATIMA KABLA YA KUKABIDHIWA MSAADA WA FUTARI NA WAZIRI WA AFYA |
WAZIRI WA AFYA MAENDELEO YA JAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO UMMY MWALIMU AKIZUNGUMZA KABLA YAKUTOA MSAADA HUO |
SHEIKH SALIM BAWAZIR AKIKARIBISHA WAGENI KATIKA HAFLA HIYO |
BAADHI YA VIONGOZI WA TAASISI ZINAZOLEA VIJANA NA YATIMA WAKIPOKEA MSAADA KUTOKA KWA MBUNGE VITI MAALUM JIMBO LA TANGA UMMY MWALIM AMBAYE PIA NI WAZIRI WA AFYA |
USTAADHI ABDUL- SWAMAD MOHAMED WA TAASISI YA ZAHRAU AKISOMA DUA KATIKA HAFLA YA KUKABIDHI MSAADA |
BAADHI YA MASHEIKH NA VIONGOZI WA TAASISI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA TANGA UMMY MWALIMU AMBAYE PIA NI WAZIRI WA AFYA MAENDELEO YA JAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO. |
No comments: